.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

WAMAREKANI WAONYESHA NIA YA KUWEKEZA NCHINI


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha (katikati), akizungumza na ujumbe huo.


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Marekani ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Tanas Energy Group, William Crawford. Kushoto ni Balozi wa Heshima kutoka California Marekani. Habari zaidi bofya hapa http://www.habari za jamii.com


Ujumbe huo ukimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha. Wa kwanza kushoto na wa pili ni maofisa wa wizara hiyo.


Ujumbe huo ukimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo. Wa pili kushoto ni ofisa wa wizara.

Ujumbe huo ukiwa katika mkutano huo na Kaimu Katibu Mkuu.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha (Wa pili kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe huo uliofika nchini kuangalia fursa za uwekezaji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni