.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

WATU 12 WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA TRENI MBILI ZA ABIRIA KUGONGANA NCHINI INDIA

Zaidi ya abiria 12 wamefariki dunia baada ya treni mbili za abiria kugongana katika jimbo la Uttar Pradesh, kaskazini mwa India. 

Ajali hiyo imetokea karibu na kituo cha Gorakhpur, yapata kilomita 270 kutoka mji wa Lucknow. 

Baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa, ajali hiyo ilitokea baada ya treni ya Krishak Express iliyokuwa ikisafiri kutoka Varanasi kuelekea Gorakhpur kugongana na treni nyingine ya Barauni Express. 

Katika ajali hiyo zaidi ya abiria 45 wamejeruhiwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni