.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

WATU WANANE WAFA KATIKA MLIPUKO WA MABOMU KATIKA KITUO CHA BASI NIGERIA

Watu wapatao nane wamekufa kwa mlipuko uliotokea kwenye moja ya vituo vikuu vya jimbo la Gombe kaskazini-mashariki mwa Nigeria.

Vyanzo kutoka mji wa Gombe, vimesema watu wengi wamejeruhiwa katika mlipuko huo katika muda wenye pirikapirika nyingi.

Mashahidi wameliambia shirika la AFP kuwa milipuko ilitokea kwenye mifuko mitatu iliyojaa milipuko.

Gombe inapakana na majimbo matatu yaliyo kwenye hali ya tahadhari kutokana na harakati za wapiganaji wa kundi la Boko Haram.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni