.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Oktoba 2014

WAZIRI MKUU PINDA AMWAKILISHA RAIS KIKWETE KWENYE MJADALA WA UWEKEZAJI AFRIKA- LONDON


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 201014.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto) baada ya kuzungumza katika mjadala huo kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais John Mahama wa Gahana na Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto) baada ya kuzungumza katika mjadala huo kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Mawaziri, Charles Kitwanga wa Nishati na Madini (kushoto), Dkt. Charles Tizeba wa Uchukuzi (katikati ) na Mahadhi Maalim wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni