.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

EUROPA LEAGUE VIWANJA 12 VYAGAWA POINTI, TOTTENHAM YAICHAPA PARTIZAN 1-0

Tottenham ikicheza nyumbani katika uwanja wao wa White Hart Lane usiku wa kuamkia leo wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Partizan Belgrade katika mchezo wa kuwania kusonga mbele katika michuano ya Europa League.
Bao hilo pekee la Tottenham liliwekwa kimiani na mshambuliaji wake Benjamin Stambouli katika dakika ya 48 ya mchezo huo. 

Michezo mingine ya Europa League iliyochezwa usiku wa kumakia leo ni kama ifuatavyo:-

Celtic 1 vs 3 FC Red Bull Salzburg

VfL Wolfsburg 0 vs 2 Everton

FC Zurich 3 vs 1 Apollon Limassol

Villarreal 2 vs 2 Borussia Monchengladb

Aalborg 1vs 0 Steaua Bucharest

Dynamo Kiev 2 vs 0 Rio Ave

Dinamo Minsk 0 vs 2 PAOK Salonika

Guingamp 1 vs 2 Fiorentina

KSC Lokeren 1 vs 0 Legia Warswa

Trabzonspor 3 vs 1 Metalist Kharkiv

HJK Helsinki 2 vs 1 FC Copenhagen

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni