.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

KENYA YAPIGA MARUFUKU WAGENI KUASILI WATOTO WA NCHI HIYO

Serikali ya Kenya imepiga marufuku kitendo cha raia wa kigeni kuasili watoto wa nchi hiyo.

Uamuzi huo umefikiwa jana katika kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na rais Uhuru Kenyatta.

Uamuzi huo umefuta mara moja kibali cha kuasili watoto kwa raia wa kigeni katika ardhi ya Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni