.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Novemba 2014

KOREA KASKAZINI IMETISHIA KUFANYA MAJARIBIO YA SILAHA ZA NYUKLIA

Korea Kaskazini imetishia kufanya majaribio ya silaha za nyuklia, katika kujibu mapigo hatua ya Umoja wa Mataifa kuichunguza nchi hiyo kuhusiana na ukiukaji wa haki za binadamu.

Wizara yake ya mambo ya nje hii leo imeishutumu Marekani kwa kuchochea wito wa hivi karibuni wa Umoja wa Mataifa kuichunguza Korea Kaskazini.

Korea Kaskazini katika miaka ya nyuma ilifanya majaribio ya nyuklia katika mwaka 2006, 2009 na 2013.

Tishio hilo limekuja baada ya picha za setelaiti kuonyesha kuwepo kwa shughuli zinazoendelea kwenye eneo la mitambo ya nyuklia ya Korea Kaskazini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni