.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 21 Novemba 2014

KUNDI LA BOKO HARAM LASHAMBULIA KIJIJI NIGERIA NA KUUA WATU 45

Makumi ya watu wameuwawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram kaskazini-mashariki mwa Nigeria.

Wapiganaji hao wenye silaha wamevamia kijiji cha Azaya Kura eneo la Mafa katika jimbo la Borno na kuua watu 45.

Boko Haram wamekuwa wakimiliki baadhi ya miji na vijiji kaskazini-mashariki mwa Nigeria katika wiki za hivi karibuni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni