.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 21 Novemba 2014

MAMA SARAH OBAMA KUMUOMBA MJUKUU WAKE RAIS OBAMA KUITEMBELEA KENYA

Mama Sarah Obama, ambaye ni bibi wa rais wa Marekani ameiliambia gazeti moja la nchi hiyo kuwa anatarajia kumualika rais Barack Obama kutembelea Kenya.

Mama Sarah anatarajia kukutana na rais Obama hivi karibuni kwenye Ikulu ya Marekani Jijini Washington DC, ambapo atatumia fursa hiyo kumuomba mjukuu wake kuitembelea Kenya.

Rais Obama aliahidi kuja katika nchi ya Kenya aliyozaliwa baba yake, kabla ya kumalizika kwa muda wake wa urais Januari 2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni