.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

MCHEZAJI MKONGWE NYOTA WA BAZIL PELE ASEMA ANAENDELEA VIZURI

Mchezaji mkongwe maarufu nchini Brazil, Pele amesema anaendelea vizuri baada ya kuhamishiwa kitengo cha uangalizi maalum, akitibiwa maambukizi ya njia ya haja ndogo.

Hospitali ya Albert Einstein iliyopo Sao Paulo Pele (74) ambaye alitwaa kombe la dunia mara tatu amehamishiwa kitengo hicho baada ya hali yake kutoimarika kitabibu.

Taarifa zinadai kuwa Pele, ambaye alilazwa hospitali siku ya jumatatu, amehamishiwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni