.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 21 Novemba 2014

MKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa chini iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo
akizungumza katika semina hiyo.
Shekh Husen Kuzungu akifafanua jambo wakati akichangia mada kwenye semina ya kutafuta namna ya kutokomeza Rushwa ya Ngono iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika Dodoma.
Mahakaimu, Wabunge, na wakuu wa vyombo vya Dora wakifuatilia jambo wakati mkuu wa mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifungua Semina kuhusu namna ya kukabiliana na tatizo la Rushwa ya Ngono linaloendelea kushamili kati ya wenye vyeo na wasio na vyeo, iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA)
Wajumbe waliohudhuria warsha ya kutafuta namna ya kukomesha Rushwa ya ngono maofisini kati ya mabosi watendaji wa chini ikiwemo vyuoni na mashuleni iliyoandaliwa na chama cha majaji wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika Dodoma
Majaji, mahakimu, viongozi wa Dini na viongozi wa vyombo vya Dora waliohudhuria semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu mpya wa mokoa wa Dodoma Chiku Galawa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni