.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

POLISI NCHINI UGANDA KUCHUNGUZA KWA KINA PICHA ZA UTUPU ZA DESIRE

Polisi nchini Uganda wameomba ushauri wa wataalamu wa picha kubaini iwapo picha za utupu za mwanamuziki Desire Lusinda zilizosambazwa mitandaoni ni zake halisi ama zimefanyiwa ujanja.

Hatua hiyo ya polisi ni sehemu ya uchunguzi mpana wa tukio hilo, lililozua mjadala mkubwa nchini Uganda, na kuvuka mipaka ya nchi hiyo kutokana na umaarufu Desire Luzinda.

Tangu kusambazwa kwa picha hizo kumekuwa na makundi mawili moja linamlaumu msanii Desire kwa mienendo michafu, huku wengine wakimtetea na kusema msanii huyo ni mhanga wa tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni