.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 21 Novemba 2014

POLISI NCHINI UGANDA YAWATAKA WANAUME WANAOPIGWA NA WAKE ZAO KUTOA TAARIFA

Polisi nchini Uganda wametoa wito kwa wanaume wanaopigwa na wanawake zao kutoa taarifa za matukio hayo polisi.

Naibu Kamishna wa Idara ta Ulinzi wa Watoto na Familia, Maureen Atuhaire amesema wanaume wengi humizwa na kukaa kimya, kutokana na kuhofia kutoa taarifa kuwa wamepigwa na wake zao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni