.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

RAIS WA UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE KUTEMBELEA NCHI YA GUINEA

Rais wa Ufaransa Francois Hollande atawasili nchini Guinea, na kuwa kiongozi wa kwanza kutoka mataifa ya magharibi kutembelea nchi inayokabiliwa na ugonjwa hatari wa Ebola.

Rais Hollande atatoa ujumbe wa mshikamano na Guinea, ambapo watu zaidi ya 1,200 wamefariki dunia kwa Ebola.

Ufaransa imeahidi dola milioni 125, kusaidia kukabiliana na ugonjwa huo kwa kuchangia ufunguaji wa vituo kadhaa vya afya nchini Guinea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni