.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 29 Novemba 2014

SAKATA LA ESCROW KAA LA MOTO, BUNGE LASITISHWA HADI SAA TANO ASUBUHI

                                                                             Spika wa Bunge, Mh Anne Makinda. 

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Anne Makinda amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii hadi hapo saa tano kamili leo asubuhi ili kamati zikakubaliane kwanza juu ya kifungu kilichosababisha wabunge washindwe kuafikiana jana usiku.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni