.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 21 Novemba 2014

WAHAMIAJI HARAMU MILIONI 5 MAREKANI HUENDA WAKANUSURIKA KUREJESHWA KWAO

Karibu watu milioni 5 wanaoishi kinyume na sheria nchini Marekani wanaweza kunusurika kurejeshwa nchi walizotoka, kwa mujibu wa mabadiliko ya mfumo wa uhamiaji.

Katika hotuba yake Rais Barack Obama amewataka watunga sheria, kutoka katika kiza na kuja na sheria zilizo sawa za uhamiaji.

Hata hivyo chama cha Republican kimesema vitendo bila kuwa na uwezo katika Baraza la Congress, ni zaidi ya mamlaka na kusema kuwa uhusiano baina ya mihimili hiyo miwili utatibuka.

Marekani inawahamiaji haramu milioni 11, na kwa mwaka huu watoto ambao wanaingia katika mipaka ya nchi hiyo wameibua mgogoro.
             Wahamiaji haramu Marekani wakifuatilia hotuba ya rais Barack Obama

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni