.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

WAUMINI WENGI WAPOTEZA MAISHA WAKIWA KATIKA IBADA KATIKA MSIKITI MMOJA MJINI KANO - NIGERIA

Watu wengi wanaripotiwa kuwa wamefariki dunia huku wengine wengi wakijeruhiwa vibaya wakati wakiwa katika ibada ya Ijumaa katika Msikiti mmoja mkubwa uliopo katika mji wa Kano nchini Nigeria. 

Shuhuda mmoja amesema ameshuhudia miili ya watu zaidi ya 50 waliopoteza maisha baada ya mabomu matatu kulipuka katika msikiti huo wakati ibada ya ijumaa ikiendelea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni