Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Dkt. Diodorus B. Kamala
akielezea lengo la ujio wa wawekezaji kutoka Ubelgiji kuja kuwekeza nchini
Tanzania alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kufuatia ujio wa
wawekezaji wa nchi hiyo Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Miundombinu na Mawasilino Juma Duni Haji akiwa na
watendaji wake wakuu wakimsikiliza Meneja mauzo
wa Kampuni ya ujenzi ya Anglo Belgian Corporation ya Ubelgiji
walipofanya mazungumzo Ofisini kwake Kisauni.
Wamiliki wa
makampuni toka Ubelgiji wakimsikiliza
Mkurugenzi Uenezi wa Mamlaka ya Uendelezaji
Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) Bi. Nasria Mohd Nassor (hayupo
pichani) walipofika ofisini kwake
Maruhubi Mjini Zanzibar.
Afisa Mipango wa
Shirika la Bandari Zanzibar Ali Haji
akizungumza na wamiliki wa makampuni
kutoka Ubelgiji walipotembelea bandari ya Malindi mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumza na ujumbe wa
Wafanyabiashara wa Makamupuni ya
uwekezaji kutoka Ubelgiji walipomtembelea Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya wawekezaji kutoka nchini Ubelgiji na
viongozi wa Mamlaka ya Uendelezaji
Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA).(Picha na
Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni