.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Novemba 2014

WAZIRI NAGU AZINDUA ZIARA YA WAFANYABIASHARA KUTOKA UBELIGIJI

Mhe. Dk. Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji (wa pili kutoka kushoto) akijiandaa kuzindua ziara ya wafanyabiashara kutoka Ubeligiji iliyoanza leo Dar es Salaam, wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dk. Diodorus Buberwa Kamala na wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ubeligiji Tanzania Mhe. Adam Koenraad.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni