.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

WIZARA YA AFYA YAPOKEA MAGARI NA VIFAA VYA AFYA KUTOKA WHO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO), Dk. Rufaro Chotaro (Kulia).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro (Kulia).
Magari manne na vifaa vya afya yaliyotolewa na Shirika la Afya la Dunia(WHO) kwa Wizara ya Afya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni