.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

ALIYEWAUWA POLISI JIJINI NEW YORK ALITOA TAARIFA WATU WAANGALIE ATAKACHOFANYA MUDA MFUPI

Polisi nchini Marekani wamesema mwanaume aliyewauwa kwa kuwapiga risasi maafisa polisi wawili, Jijini New York aliwaambia watu waangalie kile anachoenda kukifanya muda mfupi, kabla ya kufanya shambulio hilo.

Mtu huyo Ismaaiyl Brinsley, 28, anarekodi za kufanya fujo, pia inasemekana anamatatizo ya akili.

Brinsley aliwapiga risasi maafisa polisi hao waliokuwa wamekaa kwenye gari la polisi la dori eneo la Brooklyn kabla ya kukimbilia kwenye njia ya treni ya aridhini na kujiua kwa kujipiga risasi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni