.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

MGOMBEA URAIS WA TUNISIA BEJI CAID ESSEBSI ADAI KUPATA USHINDI

Mgombea urais wa Tunisia, Beji Caid Essebsi amedai kupata ushindi katika uchaguzi wa kwanza huru wa urais, huku matokeo yakionyesha kupata asilimia 55 ya kura zote.

Wafuasi wa Essebsi mwenye umri wa miaka 88, wamekuwa wakisherehekea ushindi wake katika mji mkuu Tunis.

Wapiga kampeni wa kambi ya mpinzani wake, ambaye alikua akikaimu urais Moncef Marzouki, wamesema matokeo yanakaribiana mno kuweza kutangaza mshindi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni