.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

POLISI NCHINI PAKISTAN WAKAMATA WATU KADHAA KWA KUHUSIKA NA MAUAJI KATIKA SHULE

Polisi nchini Pakistan wamesema wemewakamata watu kadhaa wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la mauaji yaliyofanyika kwenye shule inayoendeshwa na jeshi huko Peshawar wiki iliyopita.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Pakistan amesema watu hao ambao wote ni wanaume, walihusika kusaidia kuwezesha shambulio hilo lililouwa watu 141, wakiwemo watoto 132.

Waziri huyo Chaudhry Nisar Ali Khan ameongeza kuwa taarifa za kiitelijensia zinaonyesha kuwa shambulio lingine linapangwa kufanyika. Wapiganaji wa Taliban wamekiri kuhusika na tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni