.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

RAIS WA SUDAN, OMAR AL-BASHIR AMUALIKA RAIS KENYATTA

                                                                        Rais wa Sudan, Omar al-Bashir. 

Rais wa Sudan, Omar al-Bashir amemualika Rais wa Kenya, Mh Uhuru Kenyatta kuitembelea nchini hiyo. 

Katika mwaliko huo, al-Bashir amesema katika mwaliko huo wa kiserikali, una lengo la kudumisha umoja na ukaribu kati ya nchi hizo mbili. 

Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Sudan, Ali Ahmed Karti aliwasilisha mwaliko huo kwa Rais Kenyatta ili aitembelee Khartoum.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni