.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 30 Januari 2015

KIWANDA CHAKATA PETE ZA NDOA ZA WAFANYAKAZI WAKE KWA KIGEZO CHA USALAMA

Kiwanda kimoja nchini Uingereza kimeshutumiwa kumuita sonara kukata pete za ndoa za wafanyakazi wake, kwa madai kuwa ni taratibu za afya na usalama.

Chama cha wafanyakazi kimesema kitendo hicho kiliwaliza wafanyakazi wa kiwanda hicho waliovuliwa pete zao, wengine hii ikiwa ni mara ya kwanza kuvua pete zao tangu wafunge ndoa na wenza wao.

Kiwanda hicho cha Becton Dickinson kilichoajiri wafanyakazi wapatao 700, kimesema kilimuita sonara ili kurekebisha pete zao ili ziweze kuvuka wakiwa kazini, baada mfanyakazi mmoja kukatika kidole baada ya pete yake kunasa kwenye mashine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni