.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 30 Januari 2015

MFALME MPYA WA SAUDI ARABIA ATANGAZA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI

Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametangaza mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri, ikiwa ni wiki moja tu kupita tangu atwae madaraka hayo kufuatia kifo cha mfalme wa nchi hiyo.

Mabadiliko hayo pia yamewakumba mkuu wa usalama wa taifa, na mkuu wa baraza la taifa la usalama.

Maafisa wengine waandamizi, akiwemo waziri wa ulinzi, mafuta na mambo ya nje wamenusurika katika mabadiliko hayo.

Gavana wa Mecca pamoja na gavana wa Riyadh wamebadilishwa pamoja na viongozi kadhaa wa kidini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni