Watoto wachanga tisa waliokutwa hai
kwenye kifusi cha hospitali nchini Mexico baada ya gesi kulipuka
watafanyiwa vipimo vya DNA ili kusaidia kuwabaini wazazi wao.
Meya wa Jiji la Mexico, Angel
Mancera, amesema kipimo hicho ni muhimu kutokana na watoto hao
wachanga walikuwa hawajavalisha bangili za utambulisho.
Mlipuko huo uliotokea siku ya
alhamis umesababisha kifo cha muuguzi mmoja na watoto wachanga wawili
na kujeruhi wengine zaidi ya 70.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni