.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Februari 2015

FBI YAKAMATA RAIA WATATU WA KIGENI WALIOKUWA WANATAKA KUJIUNGA NA IS

Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI) limewakamata raia watatu wa kigeni ambao wakala wao wamesema walikuwa wakijaribu kujiunga na kundi la Dola ya Kiislam (IS).

Wawili miongoni mwao ambao ni wanaume walitishia kuwauwa maafisa polisi na mawakala wa FBI nchini Marekani iwapo watazuiwa kwenda nchini Syria.

Wanaume hao walibainika na mamlaka ya Marekani, baada ya kuposti vitisho hivyo kwenye tovuti ya lugha ya Uzbek, katika miezi ya hivi karibuni. Katika moja ya posti zao walitishia kumuua Rais Barack Obama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni