.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Februari 2015

KIKOSI CHA AL HILAL CHAWASILI KUWAKABILI KMKM

Wachezaji wa timu ya Al Hilal ya Sudan wakiwa katika chumba cha mapokezi baada ya kuwasili leo kwa mchezo wao wa marudio na timu ya KMKM unaotarajiwa kufanyika uwanja wa Amaan mwishoni wa wiki hii. Katika mchezo wao wa awali uliofanyika Nchini Sudan timu ya Al Hilal imeshinda 2-0
Wachezajin wa Timu ya Al Hilal wakitoka katika jengo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wachezajin wa Timu ya Al Hilal wakitoka katika jengo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika..
Wachezaji wa timu ya Al Hilal wakisalimiana na Wananchi wa Sudan walioko Zanzibar wakifanya kazi walipofika kuwapokea uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ajili ya mchezo wao wa marudio na timu ya KMKM. 
 
Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni