.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Februari 2015

LIGI YA MABINGWA ULAYA, ATLETICO MADRID YAFUNGWA 1-0 NA BAYER LEVERKUSEN HUKU TIAGO AKIPEWA KADI NYEKUNDU

Timu ya soka ya Atletico Madrid usiku wa kuamkia leo imejikuta ikikubali kichapo cha bao 1-0 toka kwa wenyeji wao Bayer Leverkusen katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo. 

Pamoja na kucheza kwa juhudi zote, kikosi hicho kinachonolewa na kocha Diego Simeone kilijikuta kinatoka uwanjani kikiwa kimekubali kufungwa, bao lililofungwa na Hakan Calhanoglus katika dakika ya 57 ya kipindi cha pili na kuipa matokeo mazuri Bayer Leverkusen.



Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres akiwapungia mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni