.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Februari 2015

MADONNA AANGUKA JUKWAANI AKITUMBUIZA KWENYE TUZO ZA BRIT 2015


Nyota wa muziki wa Pop Madonna ameanguka jukwaani wakati akitumbuiza shoo yake kwenye tuzo za Brit 2015.

Mwanamuziki huyo aliteleza kwenye ngazi na kuanguka kwa mgongo ikiwa ni mwanzo wa shoo wakati wakati dansa wake akijaribu kumvua joho alilovaa.

Hata hivyo mwanamuziki huyo alionyesha ukomavu katika gemu baada ya kuugulia maumivu na kuendelea na kumalizia wimbo wake wa Living For Love, aliokuwa akiuimba.

Baadae Madonna ametoa taarifa kuwa yupo salama, na joho lililopelekea kuanguka kwake limefungwa imara.                                                                     
                                                                           Anguko lake lilianza hivi 
                                                                       Hapa akizidi kwenda chini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni