Mwenyekiti wa Tume mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkaribisha
Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Uganda Bi. Vastina Nsanze na ujumbe wake.
Mwenyekiti wa Tume Mhe. Aloysius Mujulizi akiwa katika
mazungumzo na ujumbe wa Tume ya
Kurekebisha Sheria ya Uganda ofisini kwake.
Ujumbe wa Tume ukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Aloysius
Mujulizi ukiwa katika mkutano na wenzao wa Uganda unaoongozwa na Bi. Vastina
Nsanze.
Mwenyekiti wa Tume Mhe. Aloysius Mujulizi (kulia) akiwa na
Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Uganda katika kikao cha pamoja.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni