.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Machi 2015

SAUDI ARABIA YAANZISHA MASHAMBULIZI YA ANGA DHIDI YA WAASI WA YEMEN

Balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani amesema Saudi Arabia imeanzisha operesheni ya kijeshi ya mashambulizi ya anga nchini Yemen dhidi ya waasi wa, Houthi Shia.

Balozi Adel al-Jubeir amesema Saudi Arabia imefanya hivyo ili kuilinda serikali iliyochaguliwa kihalali ya rais Abdrabbuh Mansour Hadi.

Waasi hao wanaoungwa mkono na Iran, wamepata ushindi mkubwa katika miezi ya hivi karibuni, na kumlazimisha rais Hadi kukimbia mji mkuu wa nchi hiyo Sanaa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni