.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Machi 2015

WANAWAKE KENYA KUANDAMANA KUSHINIKIZA MBUNGE ALIYEBAKA AKAMATWE

                                      Mbunge wa jimbo la Imenti Gideon Mwiti

Mashirika yasiyoyakiserikali yanayojihusisha na haki za wanawake na watoto wa kike nchini Kenya yatafanya maandamano hii leo, kushinikiza mbunge anayedaiwa kumbaka mke wa mtu akamatwe.

Shirikisho la Asasi za Kiria Kenya limetaka kushtakiwa kwa mbunge wa jimbo la Imenti Gideon Mwiti kwa kosa la kumbaka mwanamke huyo.

Mashirika hayo yametoa wito kwa rais Uhuru Kenyatta, wabunge, Mkuu wa Jeshi la Polisi pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka Kenya kuhakikisha uchunguzi wa kina unafanyika kuhusina na tukio hilo la mbunge kubaka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni