.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Machi 2015

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA CHINA MERCHANT GROUP

3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia) na balozi wa China nchini, Lu Youqing baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng , Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 26, 2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia kwake ) pamoja na ujumbe wake na balozi wa China nchini, Lu Youqing (kushoto kwake ,baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
6
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (watatu kushoto ) pamoja na ujumbe wake na balozi wa China nchini, Lu Youqing ( kushoto kwake) ,baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais jakaya Kikwete , Ikulu jiji Dar es salaam Machi 25, 2015 kwa viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

                                                                               (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni