.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 26 Aprili 2015

DK SHEIN AFUNGUA JENGO LA OFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Jengo jipya la Afisi Kuu ya Uhamiaji liliopo Kilimani Mjini Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika kudhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza jambo kwa Asisstance Inspekta Khamis Ali Haji (wa pili kulia) wakati alipokuwa akiangalia File la familia yake alipotembelea chumba cha kuhifadhia mafaili mbali mbali ya wananchi walioomba Passpoti za uraia wa Tanzania baada ya kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia File la familia yake wakati alipotembelea chumba cha kuhifadhia mafaili mbali mbali ya wananchi walioomba Passpoti za uraia wa Tanzania baada ya kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani PerereA,Silima
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed (kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani PerereA,Silima,Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari Masoud Sururu (kushoto)na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Tanzania Sylvester Ambokile wakifuatilia kwa makini harakati za shamra shamra za Sherehe za Ufunguzi waJengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar
Maafisa mbali mbali wa Uhamiaji wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Maafisa mbali mbali wa Uhamiaji wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Maafisa mbali mbali wa Uhamiaji wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete. [Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni