.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 26 Aprili 2015

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AISHUHUDIA ZANZIBAR HEROES YA MAREKANI IKIICHAPA TANZANIA BARA 7-1

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZ
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Tanzania Bara Mude.
                                                                                              Timu ya Zanzibar
                                                                                          Timu ya Tanzania Bara
Mchezaji Dullah wa Zanzibar Heroes akitunukiwa nishani ya mchezaji bora wa mechi na katibu mkuu wa Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame baada ya kufunga goli tatu kati ya 7 walizoshinda timu ya Zanzibar Heroes
Katibu Mkuu wa Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame akimkabidhi nahodha wa timu ya Zanzibar Dedi Luba kombe baada ya kuibuka kidedea cha kuwababimza Tanzania bara goli 7-1.
                                   Zanzibar wakisherehekea ushindi baada ya mpira kuisha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni