.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 28 Mei 2015

MISA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 30, 2015


Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015 kuanzia Saa: 1pm - 5pm 

Address: LEE'S Funeral Home L.L.C160 Fisher AvenueWhite Plains, NY 10606

Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence 374 Hawthorne Terrace Mt. Vernon, NY 10552

Mpe taarifa mwenzako wote karibuni.Kwa taarifa zaidi wasikiana na:

Prof. K. Lwiza 1. Prof. K. Lwiza 631-273-3859

 2. Dr. Abas Byabusha 914-584-7502 
                                             
                                             3. Shabani Mseba 347-712-8539 
                                             
                                             4. Hajj Khamis 347-623-8965 

Ukitaka kutoa rambirambi yako unaweza kutumia number hizi hapa chini.
  
Luangisa na Kwame Luangisa. Bank ni Bank of America. Account# 9504210977. Routing# 021000322. Swift code ni BOFAUS3N.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake la Bwana litukuzwe. Amen!

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni