.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Mei 2015

MWANARIADHA USAIN BOLT AMESHINDA KIRAHISI MBIO ZAKE ZA KWANZA ULAYA

Mwanariadha Usain Bolt ameshinda kirahisi mbio zake za kwanza Ulaya, lakini ameshindwa kuvunja rekodi yake ya kutumia sekunde 20 katika mbio za mita 200 za Golden Spike huko Ostrava.

Mbio hizo kwenye mazingira baridi Mjamaica huyo aliyetwaa medali sita za dhahabu za katika michuano ya Olimpiki, alitumia sekunde 20.13, na kushindwa kufikia rekodi yake ya dunia ya sekunde 19.19

Akiongea baada ya mbio hizo Bolt anayejianda na mbio za mabingwa wa dunia za Bejing amesema hajaridhika kutokana na kushindwa kushinda chini ya sekunde 20.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni