.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 28 Mei 2015

TANZANIA YATILIANA SAINI NA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA

1
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. AlyAbou- Sabaa wakisaini mkataba wa Tsh 137.5 Billion kwaajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa serikali ya Tanzania.Sherehe hiyo ilifanyika hapa Mjini Abidjan- Ivory coast.
2
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw.AlyAbou – Sabaa na Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile wakipongezana mara baada ya kusaini mkataba wa Tshs 137.5 Billoni wa kusaidia kwenye sekta ya umeme na nishati nchini Tanzania.
3
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. AlyAbou-Sabaa na Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaa mbaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile pamoja na wajumbe waliohudhuria katika hafla ya kutia saini mkataba wa kiasi cha Tsh. 137.5 Billion kwaajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hasa umeme nchini Tanzania.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni