.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Mei 2015

VIKOSI VYA HAMAS KATIKA UKANDA WA GAZA VYAFANYA UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI

Vikosi vya Hamas katika ukanda wa Gaza vimefanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, ukiwemo kuteka watu, kutesa na mauaji raia wa Palestina mnamo mwaka 2014, ripoti mpya imebainisha.

Ripoti hiyo ya wachunguzi wa Shirika la Haki za Binadamu la Amnesty International, wengi wa waathirika wa matendo hayo walituhumiwa kushirikiana na Israeli.

Ripoti hiyo imesema hakuna hata mtu mmoja aliyefikishwa mbele ya vyombo vya sheria kutokana na ukiukwaji huo wa haki za binadamu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni