.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Julai 2015

HALI YA HEWA YA JOTO KALI YASUMBUA WANANCHI UINGEREZA

Waingereza wamejikuta katika wakati mgumu hii leo wakati wakienda makazini kutokana na joto kali lililopo hivi sasa nchini humo, huku maafisa wakiwasihi watu kukaa ndani ya nyumba wakati joto likitarajiwa kufikia nyuzi joto 36.

Vipimo vya joto vilivyofanywa jana Uingereza na Wales, vilionyesha kuendelea kuwepo hali mbaya ya hewa ya joto baada ya jana nchi hizo kuwa na joto linalofikia kipimo cha nyuzi joto 30.
                                   Watu wakijisogeza kupata upepo katika feni kubwa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni