.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 30 Julai 2015

MKUTANO WA " CONNECT 2 CONNECT WAINGIA SIKU YA PILI TANZANIA

Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Ofisa Biashara wa Mkongo wa Taifa kutoka TTCL, Ian Mawala (kushoto) akifanya mazungumzo kubadilishana uzoevu na mmoja wa wadau wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'. Ofisa Biashara wa Mkongo wa Taifa kutoka TTCL, Ian Mawala (kushoto) akifanya mazungumzo kubadilishana uzoevu na mmoja wa wadau wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'.Uwasilishaji wa mada; mmoja wa washiriki katika mkutano huo akiwasilisha mada kwa wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Uwasilishaji wa mada; mmoja wa washiriki katika mkutano huo akiwasilisha mada kwa wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Uwasilishaji wa mada; Roger Blackshaw kutoka Kampuni ya Deutsche Telekom Group (kulia) akiwasilisha mada kwa wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Uwasilishaji wa mada; Roger Blackshaw kutoka Kampuni ya Deutsche Telekom Group (kulia) akiwasilisha mada kwa wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Baadhi ya washiriki na wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano wakiendelea na mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'. Baadhi ya washiriki na wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano wakiendelea na mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'.
IMG_0277
Meneja Maendeleo wa China Telecom Global Limited, Li Shao Zhan (kushoto) akifanya mazungumzo na mmoja wa washiriki katika mkutano huo wa wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Meneja Maendeleo wa China Telecom Global Limited, Li Shao Zhan (kushoto) akifanya mazungumzo na mmoja wa washiriki katika mkutano huo wa wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Baadhi ya washiriki katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, viongozi wa serikali wa mataifa mbalimbali ya africa, wakibadilishana uzoefu. Baadhi ya washiriki katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, viongozi wa serikali wa mataifa mbalimbali ya africa, wakibadilishana uzoefu.Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini TanzaniaBaadhi ya washiriki na wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano wakiendelea na mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'. Baadhi ya washiriki na wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano wakiendelea na mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni