.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 30 Julai 2015

MUWINDAJI ALIYEMSAIDIA MTALII KUMUUA SIMBA WA ZIMBABWE AACHIWA KWA DHAMANA

Muwindaji anayetuhumiwa kumsaidia mtalii Mmarekani kumuua simba maarufu nchini Zimbabwe ameachiwa hutu kwa dhamana.

Muwindaji huyo Theo Bronkhorst amekiri kosa la kushindwa kuzuia uwindaji haramu, na kuachiwa kwa dhamana ya kiasi cha dola 1,000.

Bronkhorst pamoja na mmiliki wa kapuni yake Honest Ndlovu wataitwa tena mahakamani Agosti 5.

Mmarekani Walter Palmer, ambaye ni daktari wa maneo aliyemuua simba huyo aitwae Cecil kwa kumpiga risasi ameondoka nchini Zimbabwe lakini naye atakabiliwa na mashtaka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni