.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Julai 2015

NDOA YA WAIGIZAJI FILAMU BEN AFFLECK NA JENNIFER GARNER YAVUNJIKA RASMI

Wanandoa waigizaji filamu wa Hollywood Ben Affleck na Jennifer Garner wamesema wamefanya uamuzi mgumu wa kutangaza kutalikiana.

Wanandoa hao ambao walioana tangu mwaka 2005, wana watoto watatu wenye umri wa kuanzia miaka mitatu hadi tisa.

Katika taarifa yao ya pamoja, wamesema kuwa wataendelea mbele kwa upendo na urafiki kwa kila moja wao na wamethamiria kuendelea kuwalea kwa ushirikiano watoto wao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni