.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Julai 2015

WANAJESHI WAPATAO 10 WAMEKUFA NA KUJERUHIWA KATIKA WIMBI LA MASHAMBULIO MISRI

Wanajeshi wapatao 10 wamekufa na kujeruhiwa katika wimbi la mashambulio yanayofanywa na wanapiganaji wa makundi ya jihadi katika penisula ya Sinai nchini Misri.

Taarifa zinasema kuwa zaidi ya wapiganaji 70, walifanya mashambulizi hayo katika maeneo matano tofauti ya ukaguzi, karibu na eneo la Sheikh Zuweid.

Washambuliaji 23 wameuwawa na magari matatu ya pick-up yaliyokuwa na makombora ya kutungua ndege yameteketezwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni