.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 24 Novemba 2015

JESHI LA UTURUKI LAITUNGUA KWA KOMBORA NDEGE YA KIVITA YA URUSI

Jeshi la Uturuki limeripoti kuitungua kwa kombora ndege ya kivita ya urusi katika mpaka wake na Syria.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema ndege hiyo aina ya Su-24 imeanguka katika nchi ya Syria baada ya kupigwa na kombora la kutokea aridhini. Marubani wake wawili walifyatua viti na kutoka.

Hata hivyo maafisa wa jeshi la Uturuki wamesema ndege yake aina ya F-16 imeitungua ndege hiyo ya urusi baada ya kumuonya mara kadhaa rubani wake kuwa anavunja sheria za anga la Uturuki.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni