.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 24 Novemba 2015

KOCHA WA REAL MADRID RAFAEL BENITEZ BADO ANAKUBALIKA NA UONGOZI

Kocha wa Real Madrid, Rafael Benitez, ameambiwa kuwa atabakia kuinoa klabu hiyo na kuungwa mkono na uongozi licha ya kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa mahasimu wao Barcelona.

Benitez, 55, alichaguliwa kuiongozwa Real Madrid majira ya joto, hata hivyo mashabiki walikipaza sauti zao siku ya jumamosi wakitaka atimuliwe kazi baada ya mchezo wao na Barcelona.

Baada ya kufanyika mkutano wa bodi ya timu hiyo rais wa klabu hiyo, Florentino Perez, amesema wanamuunga mkono kocha Rafael Benitez na wanaimani naye.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni