Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya lambilambi ya marehemu Mohamed Chibumbuli kilichotokea jana Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msanii wa filamu, Shamsa Ford kushoto na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU"DIDA' wakinyoshwa mikono juu baada ya mpambano wao wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba Msanii wa filamu, Shamsa Ford kushoto na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU"DIDA' Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu bondia Leonard Machichi wakati wa mashindano ya taifa Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu kwa bondia Zulfa Macho kulia ni bondia Halima Ramadhani wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga Bondia Ismail Gaitano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwalami Salum wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Gaitano alishinda mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Jumamosi, 13 Februari 2016
MASHINDANO YA NGUMI YA TAIFA YAMALIZIKA LEO TANGANYIKA PACKERS
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni