.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 12 Februari 2016

MBUNGE JAPAN AJIUZULU BAADA YA KUCHEPUKA MKEWE AKITARAJIA KUJIFUNGUA

Mbunge mmoja wa Japan ambaye aliibua mjadala mkali bungeni wa likizo ya uzazi kwa wanaume, amejiuzulu ubunge baada ya kukiri alichepuka wakati mkewe akitarajiwa kujifungua.

Mbunge huyo Kensuke Miyazaki ameomba msamaha katika mkutano na waandhishi wa habari, kwa kusababisha kuibuka kwa hasira za umma kuhusiana na kuisaliti ndoa yake.

Bw. Miyazaki aliibua mjadala mwezi uliopita baada ya kuwa mbunge wa kwanza mwanaume Japan kuomba likizo ya uzazi.
               Mbunge Kensuke Miyazaki akiinama ikiwa ni ishara ya kuomba msamaha


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni